Machapisho

Kwa kampuni ya viwanda, kauli mbiu kali inapaswa kuwasilisha kutegemewa

  Kwa kampuni ya viwanda, kauli mbiu kali inapaswa kuwasilisha kutegemewa, uvumbuzi, na nguvu, huku pia ikiangazia pendekezo la kipekee la thamani la kampuni. Hapa kuna chaguzi chache za kuzingatia: Kuzingatia Kuegemea na Nguvu: ·          "Imejengwa Ili Kudumu, Imejengwa Ili Kuigiza." ·          "Msingi wa Viwanda, Umejengwa Ili Kustahimili." ·          "Utendaji Usiotetereka, Kuegemea Kutoweza Kuvunjika."   Kuangazia Ubunifu na Maendeleo: ·          "Kuunda Mustakabali wa Viwanda." ·          "Uvumbuzi Unaoendesha Maendeleo." ·          "Ambapo Usahihi Hukutana na Nguvu, Ubunifu Hukutana na Maendeleo."   Kusisitiza Ubora na Ubora: ·          "Imeundwa kwa ajili ya Viwand...
Fursa 150 za ujasiriamali, biashara na miradi nchini Tanzania Zijue Fursa 150 za biashara na miiradi mbalimbali nchini Tanzania. 1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. 2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha. 3. Kutengeneza na kuuza tofali 4. Ufundi, Website updating/ Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali. 5. Kuanzisha kituo cha redio na televisheni 6. Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vya electroniki na mawasiliano mfano; compyuta na vifaa vya compyuta na mawasiliano. 7. Kuuza software; mfano Antivirus, Operating Systems, Pastel, Tally, Myob, n.k 8. Kushona na kuuza nguo. 9. Kufungua Duka la kuuza nguo mpya; suit, socks, batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali, 10. Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano Kondoo, Mbuzi, Ng’ombe, Kuku, Bata, na wengine. 11. Kufungua stationery, kuuza (supply) vitabu na vifaa mbalimbali ktk mashule na vyuo. 12. Kutoa ushauri mbalimbali wa Kitaalamu. 13. Kuuza viazi, mah...

UJASIRIAMALI

Picha
Ugumu wa kupata Mitaji Wajasiriamali wamejikuta katika matatizo ya kubeba mizigo ya madeni kiasi cha kushindwa kuendelea Nini maana ya mtaji? Watu wengi wanaufahamu "Mtaji"  kwa lugha rahisi kama "Kianzio" cha biashara. Ni kweli, kwa mfano mtaji wa mama Ntilie ni Maji, sufuria, jiko, mkaa, mwiko, sahani, pamoja na fedha ya kununulia chakula kama mchele, nyanya, maharage, chumvi n.k. Sasa basi katika mtiririko wa mahitaji yaliyotajwa hapo, vyote vinahitaji pesa ili kuvipata. Tatizo liko wapi? Kupata mtaji kwa nyakati hizi imekuwa jambo linalosumbua watu wengi. Mabenki yanasita kukopesha wafanya biashara wadogo sana (Micro businesses) kutokana na sababu kadha wa kadha ambazo kwayo ukiangalia zina uzito. Kada hii ya wafanya biashara huwa hawaaminiki kwa wakopaji wakubwa kama mabenki na taasisi za fedha kutokana na sababu zifuatazo: Hawana ofisi za kudumu; Wanakosa  dhamana n.k Kupata fedha za kuanzisha biashara imekuwa ni kama ndoto!! ...

Jifunze ujasiriamali

Jinsi ya kutambua mawazo ya biashara katika mazingira unayoishi Katika pitapita za blog hii ilikutana na tangazo ndani ya basi la daladala iliyokuwa imeandikwa  “hata mbuyu ulianza kama mchicha”  ni kweli hata wazee walikuwa watoto. Na ni ukweli usiopingika kuwa biashara kubwa kubwa tunazozishuhudia hazijashushwa kwa njia za mazingaombwe. Wafanya biashara maarufu kila mmoja ana historia iliyomfikisha katika mafanikio aliyofikia. Reginald Mengi, Mohamed Dewji, na wengine wengi hawakuoteshwa kuwa na mafanikio waliyonayo, bila kuwa na mwanzo uliowafikisha hapo walipo.   Fursa na mawazo mbalimbali ya biashara yanatoka katika mazingira yanayotuzunguka; majumbani, makazini, mashuleni, safarini n.k  Wajasiriamali waliofanikiwa hupata mawazo ya kuanzisha biashara, kuwa makini na kulifanyia kazi wazo la biashara alilolivumbua katika mazingira yanayomzunguka. Ni vema ukatoka nje kujichanganya na watu ili uone fursa mbalimbali zilizopo kwa muda huo...